Kipili (Nkasi)
Kwa maana nyingine ya jina angalia hapa Kipili
Kata ya Kipili | |
Mahali pa Kipili, Nkasi katika Tanzania |
|
Majiranukta: 7°26′36″S 30°36′6″E / 7.44333°S 30.60167°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Rukwa |
Wilaya | Nkasi |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 12,037 |
Msimbo wa posta | 55316 |
Kipili ni kata ya Wilaya ya Nkasi katika Mkoa wa Rukwa, Tanzania. Kipili iko kwenye mwambao wa Ziwa Tanganyika.
Pana vijiji vya Kipili, Mkinga, Masolo, Mandakelenge, Katongolo, Kalungu na Uhuru.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 12,037 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 16,525 waishio humo. [2]
Karibu na mji kuna hoteli ya kitalii.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Kata za Wilaya ya Nkasi - Mkoa wa Rukwa - Tanzania | ||
---|---|---|
Chala | Isale | Isunta | Itete | Kabwe | Kala | Kate | Kipande | Kipili | Kipundu | Kirando | Kizumbi | Korongwe | Majengo | Mashete | Mkinga | Mkwamba | Mtenga | Myula | Namanyere | Ninde | Nkandasi | Nkomolo | Ntatumbila | Ntuchi | Paramawe | Sintali | Wampembe |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Rukwa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kipili (Nkasi) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |