Nenda kwa yaliyomo

Kabwe (Nkasi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Kabwe
Kata ya Kabwe is located in Tanzania
Kata ya Kabwe
Kata ya Kabwe

Mahali pa Kabwe katika Tanzania

Majiranukta: 7°2′37″S 30°33′17″E / 7.04361°S 30.55472°E / -7.04361; 30.55472
Nchi Tanzania
Mkoa Rukwa
Wilaya Nkasi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 18,519

Kabwe ni kata ya Wilaya ya Nkasi katika Mkoa wa Rukwa, Tanzania.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 18,519 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13,087 waishio humo.[2]

Kabwe iko kwenye mwambao wa Ziwa Tanganyika. Tangu mwaka 2019 imejengwa bandari inayolenga kuwezesha mawasiliano kwa meli baina ya Mkoa wa Rukwa na bandari ya Moba upande wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo[3].

Kata za Wilaya ya Nkasi - Mkoa wa Rukwa - Tanzania

Chala | Isale | Isunta | Itete | Kabwe | Kala | Kate | Kipande | Kipili | Kipundu | Kirando | Kizumbi | Korongwe | Majengo | Mashete | Mkinga | Mkwamba | Mtenga | Myula | Namanyere | Ninde | Nkandasi | Nkomolo | Ntatumbila | Ntuchi | Paramawe | Sintali | Wampembe

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Rukwa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kabwe (Nkasi) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.