Filimbi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kipenga)
Filimbi (pia: kipenga, nai, kikorombwe; kwa Kiingereza "whistle") ni ala ya muziki inayopigwa kwa kupulizwa. Hewa inapulizwa ndani kwa mdomo kupitia shimo.
Inatumika kutoa sauti kali inayositisha shughuli au kuvuta usikivu. Ni maarufu hasa ile ya refa katika mechi.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Filimbi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |