Kim Olafsson
Mandhari
Kim Olafsson Gunnlaussson (alizaliwa 27 Agosti 1998) ni mchezaji wa soka wa nchini Luxemburg na anacheza kama mshambuliaji kwenye ligi ya Frauen-Bundesliga kwenye timu ya wanawake ya SV Elversberg huko Ujerumani. Ni mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Luxemburg.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Grellier, Nicolas (9 Aprili 2021). "Huit ans après, Kim Olafsson revient en sélection". L'essentiel (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 10 Julai 2021.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kim Olafsson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |