Kikilo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikilo ni kata ya Wilaya ya Kondoa katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania yenye postikodi namba 41711[1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 9318 [2] waishio humo.

Makao makuu ya Kata yapo katika Kijiji cha Kikilo.

Huduma za jamii[hariri | hariri chanzo]

Baadhi ya vijiji vya kata ya Kikilo vyenye shule ya msingi ni: Kikilo yenyewe, Berabera, Kwahengwa na Ororimo.

Kata ya Kikilo ina zahanati moja iliyojengwa katika kijiji cha Kwahengwa. Zahanati hiyo ilijengwa kwa nguvu za wananchi na Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa mwaka 2017 wakati huo Mkurugenzi wa Wilaya akiwa Mwalimu Falesy Mohamed Kibassa.

Kata ya Kikilo inaunganishwa na kata za Bereko, Salanka na Thawi kwa barabara ya vumbi.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. Sensa ya 2012, Dodoma - Kondoa DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-18.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kondoa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bereko * Bumbuta * Busi * Changaa * Haubi * Hondomairo * Itaswi * Itololo * Kalamba * Keikei * Kikilo * Kikore * Kinyasi * Kisese * Kwadelo * Masange * Mnenia * Pahi * Salanka * Soera * Thawi


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kikilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.