Kalamba
Kalamba ni jina la kata ya Wilaya ya Kondoa katika Mkoa wa Dodoma , Tanzania yenye postikodi namba 41717[1] . Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13988 [2] waishio humo.
Baadhi ya vijiji vya kata ya Kalamba vyenye shule ya msingi ni Kalamba yenyewe, Hebi Juu, Deri, Kidongocheusi, Baura na Loo. Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Kalamba ni Warangi.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
- ↑ Sensa ya 2012, Dodoma - Kondoa DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-18.
![]() |
Kata za Wilaya ya Kondoa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bereko * Bumbuta * Busi * Changaa * Haubi * Hondomairo * Itaswi * Itololo * Kalamba * Keikei * Kikilo * Kikore * Kinyasi * Kisese * Kwadelo * Masange * Mnenia * Pahi * Salanka * Soera * Thawi |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kalamba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |