Busi
Jump to navigation
Jump to search
Busi ni jina la kata ya Wilaya ya Kondoa katika Mkoa wa Dodoma , Tanzania yenye postikodi namba 41716[1] . Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18724 [2] waishio humo.
Baadhi ya vijiji vya kata ya Busi vyenye shule ya msingi ni Busi yenyewe, Sambwa, Idindiri, Ihari na Keikei. Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Busi ni Warangi.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Kata za Wilaya ya Kondoa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bereko | Bolisa | Bumbuta | Busi | Changaa | Chemchem | Haubi | Hondomairo | Itaswi | Itololo | Kalamba | Kikilo | Kikore | Kilimani | Kingale | Kinyasi | Kisese | Kolo | Kondoa Mjini | Kwadelo | Masange | Mnenia | Pahi | Salanka | Serya | Soera | Suruke | Thawi| |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Busi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |