Bumbuta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bumbuta ni kata ya Wilaya ya Kondoa katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41715[1].

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 10,149 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8602 [3] waishio humo.

Baadhi ya vijiji vya kata ya Bumbuta vyenye shule ya msingi ni Bumbuta yenyewe, Chubi, Itaswi, Mauno, Mahongo na Kisaki. Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Bumbuta ni Warangi. kijiji hiki kwa upande wa mashariki kimepakana na kijiji cha Mauno. Magharibi kimepakana na kijiji cha Potea

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. https://www.nbs.go.tz
  3. Sensa ya 2012, Dodoma - Kondoa DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-18.
Kata za Wilaya ya Kondoa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania

Bereko * Bumbuta * Busi * Changaa * Haubi * Hondomairo * Itaswi * Itololo * Kalamba * Keikei * Kikilo * Kikore * Kinyasi * Kisese * Kwadelo * Masange * Mnenia * Pahi * Salanka * Soera * Thawi


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bumbuta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.