Kibonyezo cha nyumbani
Katika utarakilishi, kibonyezo cha nyumbani au kibonyezo nyumbani (kwa Kiingereza: home key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili kionyeshi kirudi mwanzo wa nakala.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.