Kibonyezo cha mpangilio
Katika utarakilishi, Kibonyezo cha mpangilio au kibonyezo mpangilio (kwa Kiingereza: tabulator key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili isogeze kionyeshi cha ingizo kwenye kituo cha mpangilio kinachofuata.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.