Kibonyezo cha kuendelea
Kibonyezo cha kuendelea au kibonyezo kuendelea (kwa Kiingereza: enter key) ni kibonyezo cha baobonye la tarakilishi kinachotumiwa ili programu, dirisha la amri au sanduku la ongea, kwa mfano, zifanye shughuli za chaguomsingi zao.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- Petzell, M. (2005). Expanding the Swahili vocabulary. Africa & Asia, 5, 85-107.