Khadija Benguenna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Khadija Benguenna (alizaliwa Algeria, mwaka 1965) ni mwandishi wa habari mtaalam wa Algeria na mtangazaji wa runinga anayefanya kazi katika kituo cha Al Jazeera. [1] Ametajwa na Jarida la Forbes, CNN na Arabian Business kama mtu mwenye ushawishi mkubwa sana huko Uarabuni.

Khadija Benguenna alihitimu kutoka sehemu ya redio na runinga ya Taasisi ya Vyombo vya Habari katika Chuo Kikuu cha Algiers.

Ameshiriki katika mahojiano na marais kadhaa wa nchi, pamoja na Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan, Rais Mohamed Morsi wa Misri na Raisi wa Iran Mahmoud Ahmedinejad, Rais wa Afghanistan Hamid Karzai, Omar al Bashir wa Sudan, na Micheline Calmy-Rey wa Uswisi.

Alipokea tuzo kutoka kwa Mary Robinson, Rais wa zamani wa Ireland katika Hoteli ya Burj al-Arab huko Dubai, na hii ni tuzo ambayo inaonyesha jukumu muhimu lililochezwa na wanawake katika idhaa ya media ya Al Jazeera katika maeneo yote ya kazi ya uhariri, ufundi na uwanja. [2]

marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Khadija Benguenna Archived 12 Februari 2012 at the Wayback Machine. - Broadcasters and Reporters / [[Al Jazeera|Al Jazeera TV channel]] in Arabic.
  2. Focus on ... Khadija Benguenna », Hijab and the city, July 24, 2009.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Khadija Benguenna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]