Nenda kwa yaliyomo

Keli Goff

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Keli Goff

Amezaliwa Keli Goff
alizaliwa Julai 20, 1979
Texas
Kazi yake mwandishi wa habari wa Marekani, mwandishi wa michezo ya tamthilia na miswaada, pia ni mwandishi wa masuala ya blogu na pia mchambuzi wa masuala ya kisiasa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2008
Cheo mshindi wa tuzo ya NAACP Image Award kwa mwaka 2016

Keli Goff (alizaliwa Julai 20, 1979) ni mwandishi wa habari wa Marekani, mwandishi wa michezo ya tamthilia na miswaada, pia ni mwandishi wa masuala ya blogu na pia mchambuzi wa masuala ya kisiasa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2008. Ni mwandishi wa kitabu Party Crashing: How the Hip-Hop Generation Declared Political Independence[1] na riwaya iliyotolewa mwaka 2011 mwezi Julai iliyokuwa ikiitwa The GQ Candidate[2]

Mwezi Septemba 2014 Goff alijiunga na waandishi wengine katika uandishi wa tamthilia ya Being Maty Jane ya BET Drama[3] mni mshindi wa tuzo ya NAACP Image Award kwa mwaka 2016.[4][5]

Kuanzia mwaka 2017 hadi 2019 alikuwa muandishi katika kituo cha runinga cha CW Television akiandika katika mfululizo wa tamthilia ya Black Lightning

Mnamo mwaka 2021 alitangaza kuwa ni mtayarishaji na muandishi wa tamthilia ya And Just Like That, , "Sex and the City."[6], Goff alichaguliwa kushiriki katika tuzo mbili za Emmy Awards kutokana na kutayarisha kipindi kilichorushwa na Netflix cha Reversing Roe.[7]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Keli anatokea katika jiji la Texas, alisoma katika shule ya Elkins High School , alipata shahada katika chuo kikuu cha New York University na shahada ya mawasiliano katika chuo kikuu cha Columbia University

  1. Goff, Keli (26 Februari 2008). Party Crashing: How the Hip-hop Generation Declared Political Independence. ISBN 978-0465003327.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Goff, Keli (5 Julai 2011). The GQ Candidate: A Novel. ISBN 978-1439158722.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Keli Goff Leaves The Root to Join the Writing Staff of BET's Being Mary Jane". The Root (kwa American English). 2014-09-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-22. Iliwekwa mnamo 2016-07-26. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  4. "Michael B. Jordan Wins Big at NAACP Image Awards for 'Creed'". Us Weekly. Iliwekwa mnamo 2016-04-13.
  5. "Michael B. Jordan Wins Big at NAACP Image Awards for 'Creed'". Iliwekwa mnamo 2016-07-26.
  6. "Sex and the City Revival Assembles Writers Room". www.variety.com. Iliwekwa mnamo 2021-02-06.
  7. "Hollywood Reporter". www.hollywoodreporter.org. Iliwekwa mnamo 2019-09-26.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Keli Goff kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.