Nenda kwa yaliyomo

Kathy Keeton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kathy Keeton
Amezaliwa Kathy Keeton
Februari 17, 1939
Afrika Kusini
Kazi yake mchapishaji wa gazeti la Marekani
Ndoa hakuolewa






Kane na Kathy keeton kwenye picha ya pamoja
Kane na Kathy keeton kwenye picha ya pamoja

Kathryn "Kathy" Keeton (Februari 17, 1939Septemba 19, 1997) alikuwa mchapishaji wa gazeti la Marekani pamoja na mpenzi wake, na mume wake wa baadaye, Penthouse mchapishaji Bob Guccione.

Maisha ya awali na taaluma ya biashara

[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa Afrika Kusini na kukulia shambani. Keeton alichagua michezo wakati wa utoto wake ili kuimarisha mguu wake ulioathirika na |polio.

Alifanikiwa kudhaminiwa na Sadler's Wells Ballet huko London, lakini aliacha baada ya kufikisha miaka 18 na kuanza kufanya kazi klabu ya usiku.[1]

Alionekana kwa sehemu ndogo katika sinema nne za Uingereza: Carlton-Browne of the F.O. (1959) (kama mchezaji wa juu ya meza), Expresso Bongo (1959), Too Hot to Handle (1960), na The Spy Who Came in from the Cold (1965) (mchezaji wa klabu).

Alipokuwa na miaka 24 alihusushwa kuwa mmoja kati ya wachezaji klabu wanaolipwa zaidi Ulaya.[2]

  1. Wesley, Sandra. "Editor Kathy Keeton sells the naked truth", May 6, 1974, p. 17. 
  2. Pogrebin, Robin. "Kathy Keeton Guccione, 58, President of Magazine Company", September 23, 1997. Retrieved on August 4, 2014. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kathy Keeton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.