Kate Austin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kate Austin (1864–1902)
Kate Austin (1864–1902)

Kate Cooper Austin (Julai 25, 1864Oktoba 28, 1902)[1] alikuwa mwandishi wa habari, mwanaharakati na mtetezi wa haki za wananawake nchini Marekani.

Catherine Cooper alizaliwa Julai 25, 1864 LaSalle County, Illinois. Austin alihamia na familia yake hadi Hook's Point, Iowa, alipokuwa na umri wa miaka sita.[2][3] Akiwa na umri wa miaka 11, Austin alifiwa na mama yake na ikabidi awalee kaka na dada zake saba.[4] Kwa sababu ya kuwa na maisha magumu, Austin alijifunza kusoma kwani ikawa moja ya burudani zake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nold, Carl (June–July 1934). "Kate Austin". Man!. Iliwekwa mnamo January 20, 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "AUSTIN, Kate, American journalist.- An Anarchist Witness of the Haymarket Drama". Research on Anarchism. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo August 30, 2017. Iliwekwa mnamo March 25, 2006.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. "APINC - Association pour l'Internet Non Commercial - RIP 2001-2016". raforum.apinc.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 February 2006. Iliwekwa mnamo 29 August 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. "Kate Austin". flag.blackened.net. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo March 4, 2016. Iliwekwa mnamo March 8, 2017.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kate Austin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.