Kasuku Samson Bilago

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kasuku Samson Bilago (2 Februari 1964 - 26 Mei 2018) alikuwa mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Alichaguliwa kuwa mbunge wa Buyungu (wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma) kwa mwaka 20152020 lakini hakuweza kumaliza muda wake.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017