Karne ya 7
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 5 |
Karne ya 6 |
Karne ya 7
| Karne ya 8
| Karne ya 9
| ►
Miaka ya 600 |
Miaka ya 610 |
Miaka ya 620 |
Miaka ya 630 |
Miaka ya 640 |
Miaka ya 650 |
Miaka ya 660 |
Miaka ya 670 |
Miaka ya 680 |
Miaka ya 690
Karne ya 7 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 601 na 700. Kikamilifu kilianza tarehe 1 Januari 601 na kuishia 31 Desemba 700. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".
Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu: katika hali halisi maendeleo na mabadiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.
Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii, kama haya wafuatayo.
Watu na matukio
[hariri | hariri chanzo]Karne: Karne ya 6 | Karne ya 7 | Karne ya 8 |
Miongo na miaka |
Miaka ya 600 | 600 601 602 603 604 605 606 607 608 609 |
Miaka ya 610 | 610 611 612 613 614 615 616 617 618 619 |
Miaka ya 620 | 620 621 622 623 624 625 626 627 628 629 |
Miaka ya 630 | 630 631 632 633 634 635 636 637 638 639 |
Miaka ya 640 | 640 641 642 643 644 645 646 647 648 649 |
Miaka ya 650 | 650 651 652 653 654 655 656 657 658 659 |
Miaka ya 660 | 660 661 662 663 664 665 666 667 668 669 |
Miaka ya 670 | 670 671 672 673 674 675 676 677 678 679 |
Miaka ya 680 | 680 681 682 683 684 685 686 687 688 689 |
Miaka ya 690 | 690 691 692 693 694 695 696 697 698 699 |
- Papa Gregori I anajitangaza "mtumishi wa watumishi wa Mungu"
- Augustino wa Canterbury anainjilisha Uingereza
- Muhammad (Maka, 570 - Madina, 632) anaanzisha dini ya Uislamu hukoUarabuni
- Waarabu wanatoka katika Bara Arabu na kuvamia milki za jirani za Bizanti na Uajemi zilizowahi kuchoshana kwa vita virefu
- Hadi mwisho wa karne majeshi ya Waarabu Waislamu zinafikia milango ya Ulaya, China na Uhindi na kutawala maeneo makubwa kuanzia Afrika ya Kaskazini hadi Asia ya Kati.