Joe Biden
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kampeni ya uraisi ya Joe Biden 2020)
Joe Biden | |
Aliingia ofisini Januari 20, 2021 | |
Makamu wa Rais | Kamala Harris |
---|---|
mtangulizi | Donald Trump |
Muda wa Utawala Januari 3, 1973 – Januari 15, 2009 | |
mtangulizi | J. Caleb Boggs |
aliyemfuata | Ted Kaufman |
tarehe ya kuzaliwa | Novemba 20 1942 Scranton, Pennsylvania, Marekani |
utaifa | Marekani |
chama | Democratic |
ndoa | Jill Biden |
watoto | Beau Biden (b. 1969) Hunter Biden (b. 1970) Naomi "Amy" Biden (b. 1971) Ashley Biden (b. 1981) |
signature | |
tovuti | Joe Biden |
Joseph Robinette "Joe" Biden Jr. (amezaliwa 20 Novemba 1942) ni mwanasiasa wa Marekani.
Kuanzia mwaka wa 1973 hadi 2009 alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Delaware. Halafu alikuwa Makamu wa Rais wa Marekani chini ya Rais Barack Obama kuanzia mwaka wa 2009 hadi 2017, akiwa Mkatoliki wa kwanza na pia Mdelaware wa kwanza kuwa Kaimu Rais.
Mnamo 25 Aprili 2019, Biden alitoa video akitangaza kugombea kwake kwenye mchujo wa nafasi ya Rais wa Marekani mwaka 2020.[1] Mnamo 30 Novemba 2020, Biden na mgombea mwenza wake, Kamala Harris, waliwashinda rais wa chama cha Republican aliye madarakani, Donald Trump, na makamu wa rais Mike Pence katika uchaguzi mkuu[2].
Tazama pia
Marejeo
- ↑ "Joe Biden's 2020 Plan Is Almost Complete. Democrats Are impatient.", 2019-03-07.
- ↑ US Election 2020: Time for US to unite, President-elect Biden says, tovuti ya BBC, tar. 7-11-2020, iliangaliwa 7-11-20
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joe Biden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |