Josip Belušić

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Josip Belušić.

Josip Belušić (Županići, Labin, Dola la Austria, sasa Kroatia, 12 Machi 1847 - Trieste, leo nchini Italia, 8 Januari 1905) alikuwa mvumbuzi wa Kikroeshia. Anajulikana kwa kubuni spidometa.[1][2]

Alisoma huko Vienna. Belušić alikuwa profesa huko Koper na Trieste. Alimiliki hati miliki ya kasi katika 1888 akaiwasilisha kwenye Maonyesho ya Dunia ya mwaka 1889 huko Paris.[3][4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Josip Belušić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.