Joseph Butiku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Joseph Butiku
Chama CCM


Joseph Waryoba Butiku (alizaliwa tar.) ni mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere (inayojulikana pia kama Mwalimu Nyerere Foundation) na ni msaidizi wa utafiti binafsi na mjumbe binafsi Tanzania. [1]

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Joseph Butiku alihudhuria mafunzo ya kijeshi Monduli na alimaliza kama Luteni na hatimaye aliweza kufikia cheo kikubwa cha Meja.

Vilevile aliweza kuwa katibu mkuu wa faragha na Mkuu wa Wafanyakazi chini ya Rais Alli Hassan Mwinyi.

Alikuwa Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM kanda ya mkoa wa Mara na baadaye alikuwa Kamishna wa kikanda. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Butiku kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.