José Ramón Sauto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

José Ramón Sauto (12 Septemba 1912 - 16 Aprili 1994) alikuwa mchezaji wa soka wa Mexico ambaye alichezea timu ya Real Madrid miaka ya 1930 hadi 1940.

José Ramón Sauto alikuwa mchezaji wa kwanza wa Mexico aliyechezea Real Madrid na alianza kucheza mpira wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Hispania.

Alianza kuchezea Real Madrid mnamo tarehe 17 Desemba 1933, katika kushindwa kwa Real Madrid dhidi ya Real Betis. Alicheza Real Madrid kwa misimu wanane, katika mechi 143.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu José Ramón Sauto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.