Jorge Merodio
Mandhari
Jorge Resurrección Merodio (anajulikana sana kwa jina la Koke; alizaliwa Vallecas, jijini Madrid, 8 Januari 1992) ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anachezea timu ya Atletico Madrid na timu ya taifa ya Hispania kama kiungo wa kati.
Koke alishinda michuano ya Ulaya ya 2013 na timu ya chini miaka 21 ya Hispania. Pia aliiwakilisha nchi katika makombe mawili ya Dunia na Euro 2016.
Amefanikiwa kubeba taji la ligi kuu ya Hispania la mwaka 2014.
Katika timu ya taifa amefanikiwa kubeba kombe la Dunia la mwaka 2014.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jorge Merodio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |