Jonis Bascir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jonis Bascir
Jonis Bascir

Jonis Bascir, pia anajulikana kama Jonis Bashir, ni mwigizaji na mwanamuziki wa Kisomali - mwenye asili ya Kiitaliano .

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Jonis ni mtoto wa Muheddin Hagi Bascir, na alizaliwa huko Roma, Italia manamo 1960. [1] [2] Baba yake ni Msomali na mama yake ni Mwitaliano . [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Introduzione Agli Studi Postcoloniali. Wuming Foundation. Iliwekwa mnamo 3 February 2014.
  2. Bambola Ramona ce la fa. TVBlog. Iliwekwa mnamo 3 February 2014.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jonis Bascir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.