Nenda kwa yaliyomo

John Travolta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John Travolta

John Travolta mnamo 2013
Amezaliwa John Joseph Travolta
18 Februari 1954 (1954-02-18) (umri 70)
Englewood, New Jersey, US
Kazi yake Mwigizaji, mwimbaji, dansa, mtayarishaji na mtunzi
Miaka ya kazi 1969–mpaka leo
Ndoa Kelly Preston
(1991–present)
Tovuti rasmi

John Joseph Travolta (amezaliwa tar. 18 Februari 1954) ni mwigizaji, dansa na mwimbaji kutoka nchini Marekani. Ameanza kujulikana kwa mara yake ya kwanza kunako miaka ya 1970, baada ya kuonekana katika mfululizo wa televisheni. Mfululizo huo ni Welcome Back, Kotter na nyota katika filamu zenye mafanikio makubwa kabisa ya Saturday Night Fever na Grease. Kazi za Travolta zilianza kuvuma tena kwenye miaka ya 1990, kupata kucheza katika filamu ya Pulp Fiction, na tangu hapo akawa anaendelea kuwa nyota wa filamu za Hollywood films, katika Face/Off, Ladder 49 na Wild Hogs.

Soma zaidi

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: