Dustin Hoffman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dustin Hoffman

Dustin Hoffman, mnamo 2013.
Amezaliwa Dustin Lee Hoffman
8 Agosti 1937 (1937-08-08) (umri 86)
Los Angeles, California, Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1960-hadi leo
Ndoa Anne Byrne (1969-1980)
Lisa Gottsegen (1980)
Watoto 6

Dustin Lee Hoffman (amezaliwa tar. 8 Agosti 1937) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Amepata kucheza katika mafilamu kibao.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Hoffman alizaliwa mjini Los Angeles, California. Ni mtoto wa Lillian, mpiga piano wa muziki wa jazz, na Harry Hoffman, ambaye anafanyakazi katika kampuni ya filamu ya Columbia Pictures, ambapo alikuwa akifanyakazi kama mpambaji kabla ya kuwa mwuzaji fanicha.[1][2] Kaka yake, Ronald, ni mwanasheria na mwana-uchumi. Familia ya Hoffman ni Wayahudi, japokuwa yeye mwenyewe hakukulia katika madhehebu ya dini hiyo.[3][4]Alimaliza elimu yake ya juu katika shule iliopo mjini Los Angeles mnamo 1955.

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Filamu Aliigiza kama Maelezo
1967 The Tiger Makes Out Hap
The Graduate Benjamin "Ben" Braddock Alishinda tuzo za BAFTA Award for Most Promising Newcomer to Leading Film Roles
Golden Globe Award for New Star of the Year – Actor
1968 Madigan's Millions Jason Fister
1969 Sunday Father A 'Sunday Father'
Midnight Cowboy Enrico Salvatore "Ratso" "Rico" Rizzo Alishinda tuzo za BAFTA Award for Best Actor in a Leading Role
David di Donatello for Best Foreign Actor
Golden Laurel Award for Male Dramatic Performance
John and Mary John Alishinda tuzo ya BAFTA Award for Best Actor in a Leading Role
1970 Little Big Man Jack Crabb
1971 On Location: Dustin Hoffman Mwenyewe
Who Is Harry Kellerman and Why Is He Saying Those Terrible Things About Me? Georgie Soloway
Straw Dogs David Sumner
1972 Alfredo, Alfredo Alfredo Sbisà
1973 Papillon Louis Dega
1974 Lenny Lenny Bruce
1976 The Magic of Hollywood... Is the Magic of People Mwenyewe
All the President's Men Carl Bernstein
Marathon Man Thomas Babington "Babe" Levy
1978 Straight Time Max Dembo pia mtayarishaji
1979 Agatha Wally Stanton Alishinda tuzo ya National Society of Film Critics Award for Best Actor
Kramer vs. Kramer Ted Kramer Alishinda tuzo za Academy Award for Best Actor
David di Donatello for Best Foreign Actor
Golden Globe Award for Best Actor – Motion Picture Drama
Kansas City Film Critics Circle Award for Best Actor
Los Angeles Film Critics Association Award for Best Actor
National Society of Film Critics Award for Best Actor
1982 Tootsie Michael Dorsey / Dorothy Michaels Alishinda tuzo za BAFTA Award for Best Actor in a Leading Role
Boston Society of Film Critics Award for Best Actor
Golden Globe Award for Best Actor – Motion Picture Musical or Comedy
National Society of Film Critics Award for Best Actor
1984 Terror in the Aisles
1985 Death of a Salesman William "Willy" Loman Alishinda tuzo za Primetime Emmy Award for Outstanding Lead Actor – Miniseries or a Movie
Golden Globe Award for Best Actor – Miniseries or Television Film
1986 Private Conversations Mwenyewe
1987 Ishtar Chuck Clarke
1988 Rain Man Raymond "Ray" Babbitt also known as "Rain Man" Alishinda tuzo za Academy Award for Best Actor
David di Donatello for Best Foreign Actor
Golden Globe Award for Best Actor – Motion Picture Drama
Kansas City Film Critics Circle Award for Best Actor
1989 Common Threads: Stories from the Quilt
Family Business Vito McMullen
1990 Dick Tracy Mumbles
1991 Billy Bathgate Dutch Schultz
The Simpsons Mr. Bergstrom Kipindi cha: "Lisa's Substitute"
Hook Captain James Hook
1992 Hero Bernard "Bernie" Laplante
1993 La Classe américaine Peter
1994 Jonas in the Desert Mwenyewe
1995 Outbreak Colonel Sam Daniels
1996 American Buffalo Walt 'Teach' Teacher
Sleepers Danny Snyder
1997 Mad City Max Brackett
Wag the Dog Stanley Motss
1998 Sphere Dr. Norman Goodman
1999 The Messenger: The Story of Joan of Arc The Conscience
2001 Tuesday
Goldwyn
2002 Moonlight Mile Ben Floss
Liberty's Kids Benedict Arnold sauti
2003 The Shakespeare Sessions Mwenyewe
Confidence Winston King
Runaway Jury Wendell Rohr
2004 Freedom2speak v2.0 Mwenyewe
Finding Neverland Charles Frohman
I Heart Huckabees Bernard
Meet the Fockers Bernie Focker Alishinda tuzo ya MTV Movie Award for Best Comedic Performance
Lemony Snicket's A Series of Unfortunate Events The Critic
2005 Racing Stripes Tucker sauti
The Lost City Meyer Lansky
2006 Perfume: The Story of a Murderer Giuseppe Baldini
Stranger than Fiction Professor Jules Hilbert
The Holiday Mwenyewe
2007 Mr. Magorium's Wonder Emporium Mr. Edward Magorium
2008 Kung Fu Panda Master Shifu sauti
Alishinda tuzo ya Annie Award for Best Voice Acting in an Animated Feature Production
Horton Hears a Who!
The Tale of Despereaux Roscuro sauti
2009 Last Chance Harvey Harvey Shine
2010 Barney's Version Izzy Alishinda tuzo ya Genie Award for Best Performance by an Actor in a Supporting Role
Jews and Baseball: An American Love Story
Little Fockers Bernie Focker
2011 Kung Fu Panda 2 Master Shifu sauti
2011–2012 Luck Chester "Ace" Bernstein

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Yahoo movies biography.. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-06-28. Iliwekwa mnamo 2009-09-19.
  2. Film Reference.com biography.
  3. Bernard, Sarah. "The Tortoise and the Whoopee Cushion", New York Magazine, 2007-11-18. Retrieved on 2007-11-22. 
  4. Hoffman's Jewish return. Ynet.com. 19 Novemba 2006.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dustin Hoffman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.