John Blaq

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

John Kasadha (anajulikana sana kama John Blaq 16 Julai 1996) ni msanii wa muziki wa Uganda, mwanamuziki na mburudishaji. Mtindo wake wa muziki ni dancehall na afrobeat . [1] [2] [3] [4]

Historia[hariri | hariri chanzo]

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Kasadha alisoma shule ya msingi ya Lwanda na shule ya msingi ya Hasan Tourabi ambapo alifanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi. [5] [6] Kati ya mwaka 2010-12, alijiunga na shule ya sekondari ya Bweyogerere, ambapo alipata cheti cha UCE na UACE mnamo 2016 na 2018. [7]

Kazi ya muziki[hariri | hariri chanzo]

Kasadha mnamo mwaka 2018 alianza na wimbo wake wa "Tukwatagane". [8] [9] Wimbo wa "Sweet Love" ilikuwa ni kolabo yake ya kwanza na Vinka, na ulitolewa mnamo Desemba, 2018. [10] [11] Tamasha yake ya kwanza ilifanyika Freedom City, Kampala tarehe 29 Novemba 2019. [12] [13]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. John Blaq. Spotify.
 2. Featured Pulser: New kid on the Block "John Blaq". MTN Pulse (August 16, 2018).
 3. Who is John Blaq: Biography, Profile and Life Story of Kashada John (21 March 2019). Jalada kutoka ya awali juu ya 15 December 2019. Iliwekwa mnamo 21 January 2020.
 4. New Kid On The Block John Blaq Seals Multi-million Deal With Pepsi – Chano8. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-11-10. Iliwekwa mnamo 2022-05-13.
 5. Ndijjo (2019-05-17). Bukedde Online - By'obadde tomanyi ku muyimbi John Blaq aliko akaco kano. Bukedde.co.ug. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-06-13. Iliwekwa mnamo 2020-01-27.
 6. Meet new kid on the block, John Blaq. Observer.ug. Iliwekwa mnamo 2020-01-27.
 7. I am a very good rapper too – Blaq (29 November 2019). Jalada kutoka ya awali juu ya 29 November 2019. Iliwekwa mnamo 21 January 2020.
 8. TUKWATAGANE – JOHN BLAQ (Official Music Video) (19 September 2018).
 9. Fast rising star John Blaq acquires a new ride (31 March 2019). Jalada kutoka ya awali juu ya 6 May 2019. Iliwekwa mnamo 21 January 2020.
 10. John Blaq and Vinka's 'Sweet Love' notches a million views (11 September 2019).
 11. John Blaq Shuts Down Freedom City in His First Concert Dubbed AyaBas! (30 November 2019). Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-11-10. Iliwekwa mnamo 2022-05-13.
 12. John Blaq sends Freedom City into rupture in 'AyaBas' concert/ (30 November 2019). Jalada kutoka ya awali juu ya 23 December 2019. Iliwekwa mnamo 21 January 2020.
 13. John Blaq apologizes for disappointing fans – Nxt Radio.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Blaq kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.