Joe Gomez

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Joe Gomez

Joseph Dave Gomez (alizaliwa Mei 23, 1997) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama mlinzi/beki wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool na timu ya taifa ya Uingereza.

Alianza kazi yake na Charlton Athletic, kabla ya kujiunga na Liverpool F.C. mwezi Juni 2015. Gomez amewakilisha Uingereza katika kila ngazi. Alicheza mechi yake ya kwanza kwa timu ya Uingereza Novemba 2017.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joe Gomez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.