Jimbo la Chlef

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jimbo la Chlef
ولاية الشلف
Algeria 02 Wilaya locator map-2009.svg
Ramani ya Algeria imekoozeshwa katika Jimbo la Chlef
Kodi ya Jimbo 2
Kodi ya Eneo +213 (0) 27
Ngazi ya Utawala
Wilaya 13
Manispaa 35
Liwali Mr. Mohamed El Ghazi
Rais wa Bunge Mohamed Meheni (FLN)
Takwimu za Msingi
Eneo 4,975 km² (1,921 sq mi)
Idadi ya wakazi 1,013,718[1] (2008)
Density 203.8/km² (527.7/sq mi)

Chlef (Kiarabu:| الشلف ash-shlef) ni jina la jimbo la nchini Algeria. Takriban watu milioni 1 wanaishi jimboni hapa. Mji mkuu wa jimbo hili ni Chlef. Wilaya yake ya karibu ni Ténès, ambayo ipo kwenye eneo la Bahari ya Mediteranea.

Mgawanyiko wa kiutawala jimboni hapa[hariri | hariri chanzo]

Imegawanyika katika wilaya 13 na manispaa 35. Wilaya zake ni:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Office National des Statistiques, Recensement General de la Population et de l’Habitat 2008 Preliminary results of the 2008 population census. Accessed on 2008-07-02.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Flag and map of Algeria.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Chlef kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.