Chlef

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji Wa Chlef, Algeria
Sehemu ya Mji Wa Chlef, Algeria

Chlef ni mji muhimu wa Algeria. Wakazi wake walihesabiwa kuwa 178,616 mwaka 2008[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chlef kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.