Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Tamanghasset

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mazingira ya Wilaya ya Tamanghasset.
Ramani ya Tamanghasset.

Tamanghasset ni wilaya kubwa kuliko zote za Aljeria, ikienea kwa karibu robo ya nchi yote.

Jina linatokana na lile la makao makuu, Tamanghasset au Tamanrasset.

Ndani yake mna Hifadhi za Taifa mbili.


Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Tamanghasset kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.