Wilaya ya Adrar
Mandhari
(Elekezwa kutoka Wilaya ya Adrar (Aljeria))
Jimbo la Adrar | |
ولاية أدرار | |
Ramani ya Algeria imekoozeshwa katika Jimbo la Adrar | |
Kodi ya Jimbo | 1 |
Kodi ya Eneo | +213 (0) 49 |
Ngazi ya Utawala | |
Wilaya | 11 |
Manispaa | 28 |
Liwali | Mr. Messaoud Djari |
Rais wa Bunge | Mr. Menad Mehdi (FLN) |
Takwimu za Msingi | |
Eneo | 439,700 km² (169,769 sq mi) |
Idadi ya wakazi | 402,197[1] (2008) |
Density | 0,9/km² (2,4/sq mi) |
- Kwa mkoa wa Mauritania, tazama Adrar (mkoa).
Adrar (Kiarabu:ولاية أدرار) ni jimbo lililpo mjini kusini-mashariki mwa nchi ya Algeria. Jimbo limepewa jina baada ya mji wake mkuu kuitwa Adrar. Hili ni jimbo la pili kwa ukubwa baada, lenye eneo la kilomita za mraba zipatazo 427,368. Hadi mwaka wa 2008, jimbo lilikuwa na wakazi takriban 402,197 wanaokalia jimboni hapa.
Mgawanyiko wa kiutawala wa jimboni hapa
[hariri | hariri chanzo]Jimbo limeganyika katika wilaya 11 na manispaa 28.
Wilaya:-
- Adrar
- Aougrout
- Aoulef
- Bordj Badji Mokhtar
- Charouine
- Fenoughil
- Reggane
- T'Sabit
- Timimoune
- Tinerkouk
- Zaouiet Kounta
Manispaa:-
- Adrar
- Akabli
- Aougrout
- Aoulef
- Bordj Badji Mokhtar
- Bouda
- Charouine
- Deldoul
- Fenoughil
- In Zghmir
- Ksar Kaddour
- Metarfa
- Ouled Ahmed Timmi
- Ouled Aissa
- Ouled Said
- Reggane
- Sali
- Sebaa
- Talmin
- Tamantit
- Tamest
- Timekten
- Timiaouine
- Timimoun
- Tinerkouk
- Tit
- Tsabit
- Zaouiet Kounta
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Office National des Statistiques, Recensement General de la Population et de l’Habitat 2008 Preliminary results of the 2008 population census. Accessed on 2008-07-02.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Adrar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |