Nenda kwa yaliyomo

Aweil (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Jimbo la Aweil)


Aweil State
Mahali paAweil State
Mahali paAweil State
Mahali pa Aweil katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Aweil
Idadi ya kaunti 8
Idadi ya manispaa 1
Serikali
 - Gavana Ronald Ruai Deng
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014)
 - Wakazi kwa ujumla 251,160

Aweil State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Imegawanyika katika kaunti 8: Buonchai County, Ajak County, Kongdek County, Ajuet County, Chimel County, Mayom Wel County, Barmayen County na Aroyo County[1][2], mbali na manispaa ya Aweil.[1]

  1. 1.0 1.1 Abraham, Agoth. "Additional Counties Established In Aweil East". Gurtong. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-02. Iliwekwa mnamo 22 Novemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Aweil State Governor Appoints County Commissioners Ilihifadhiwa 10 Agosti 2016 kwenye Wayback Machine. Gurtong
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aweil (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.