Aweil (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Aweil State
Mahali pa Aweil katika Sudan Kusini
Mahali pa Aweil katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Aweil
Idadi ya kaunti 8
Idadi ya manispaa 1
Serikali
 - Gavana Ronald Ruai Deng

Aweil State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Imegawanyika katika kaunti 8: Buonchai County, Ajak County, Kongdek County, Ajuet County, Chimel County, Mayom Wel County, Barmayen County na Aroyo County[1][2], mbali na manispaa ya Aweil.[1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aweil (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.