Jeshi la Kujenga Taifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Jeshi la Kujenga Taifa (kifupi JKT) ni tawi la jeshi la Tanzania. Liliasisiwa tarehe 10 Julai 1963 [1] kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa vijana wa Kitanzania juu ya uzalendo, maadili pamoja na nidhamu.

Marejeo

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-03-05. Iliwekwa mnamo 2021-03-04.
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jeshi la Kujenga Taifa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.