Nenda kwa yaliyomo

Jeradi wa Aurillac

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Jeradi.

Jeradi wa Aurillac (Aurillac, Ufaransa, 855 hivi - Cenezac[1], 13 Oktoba 909) alikuwa mtemi wa Aurillac ambaye, kwa faida kubwa ya wananchi wake, aliishi kwa siri kama mmonaki, akawa kielelezo kwa watawala wengine[2].

Habari zake ziliandikwa na Odo wa Cluny[3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yao ya pamoja inaadhimishwa tarehe 13 Oktoba[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Saint Géraud d'Aurillac". nominis.cef.fr. Iliwekwa mnamo 2020-11-09.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/92106
  3. G. Sitwell, tr. in St Odo of Cluny, 1958:90–180; there are two Latin versions of Odo's Life: A. Poncelet, "La plus ancienne 'Vie de Saint Géraud", Ann. Bolandist, 14 (1895:83–105).
  4. Martyrologium Romanum
  • (Kilatini) Odo wa Cluny (930), Vita de sancto Geraldo comite Auriliacensis, Biblioteca nazionale di Francia, manoscritto latino 5301.
  • (Kifaransa) Odo wa Cluny Vie de Géraud d'Aurillac, traduzione francese di Père G. de Venzac, in Revue de la Haute-Auvergne, t. 43, anno 74, luglio-dicembre 1972, p. 220-322
  • Vies de saints (Martial, Gall, Martin, Sidoine, Ursin, Benoît, Turian, Germain d'Auxerre, Taurin, Avit, Gilles, Loup, Augustin, Nicolas, Nectaire, Silvestre, Géraud, Mayeul), manoscritto latino, Bibliothèque de Clermont-Ferrand, ms. 149, f. 48-162, XIIe ou XIIIe s.
  • Anne-Marie Bultot-Verleysen, Odon de Cluny - Vita sancti Geraldi Auriliacensis, edizione critica, traduzione francese, introduzione e commentari, Bollandisti, Bruxelles, 2009 ISBN 978-2-87365-023-0
  • Géraud Vigier (Père Dominique de Jésus, supérieur des Carmes de Clermont), Histoire parénétique de trois Saints protecteurs de la Haute-Auvergne : saint Flour, saint Marius (saint Mary), saint Géraud, 1635.
  • Dom Branche (prieur de Pébrac), Vie des Saints et Saintes d'Auvergne, 1652.
  • Pierre Moulier, Nicole Charbonnel, Mathew Kuefler, Pascale Moulier, Sur les pas de Géraud d'Aurillac. En France et en Espagne, Saint-Flour, Cantal Patrimoine, 2010, 208 p.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.