Jay Moe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:39, 29 Aprili 2013 na 41.222.177.43 (majadiliano) (jay moo msaani mkubwa bigup to you)
Jay Moe
Jay Moe
Jay Moe
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Juma Mohamed Mchopanga
Pia anajulikana kama Mo Skills
Superman
Mo Genius
Mr. Mchopange
Amezaliwa 27 Novemba 1978 (1978-11-27) (umri 45)
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Mwimbaji
Miaka ya kazi 1998-hadi leo
Studio Bongo Records
Kama Kawa Records
Ame/Wameshirikiana na TID
Imam Abbas
P Funk
Dknob
Mchizi Mox
Solo Thang
Jahfarai
Lord Eyez

Juma Mohamed Mchopanga (amezaliwa tar. 27 Novemba 1978) ni rapa wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Jay Moe. Pia anajulikana kwa vibao vyake mashuhuri kama vile Bishoo, Jua na Mvua, Kama Unataka Demu, Maisha ya Boding, Stori Tatu Tofauti, na Sihitaji aliyofanya na Lord Eyez wa Nako 2 Nako. Jay Moe ni mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la muziki wa hip hop na rap maarufu kama Wateule. Pia anafahamika zaidi kwa kuimba maneno magumu na yenye vina vitata, sana-sana ni yeye na Fid Q.

Wasifu

Maisha ya awali

Muziki

Marejeo

Viungo vya nje

Kigezo:Jay Moe

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jay Moe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.