Nenda kwa yaliyomo

Jason Derulo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jason Derulo
Jason Derulo, mnamo 2018
Jason Derulo, mnamo 2018
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Jason Joel Desrouleaux
Amezaliwa 21 Septemba 1989 (1989-09-21) (umri 35)
Aina ya muziki Pop
Kazi yake Mwimbaji
Ala Sauti
Miaka ya kazi 2006-hadi leo
Studio Asylum Records
Tovuti jasonderulo.com

Jason Joel Desrouleaux (maarufu kama Jason Derulo; alizaliwa 21 Septemba 1989) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Marekani.

Tangu aanze kazi ya muziki mwaka 2009, Derulo ameuza na kurekodi nyimbo zaidi ya 30. Mwaka 2009 Derulo alitoa nyimbo yake ya kwanza inayoitwa "In my head"nyimbo hiyo ilitazamwa na watu zaidi ya 2,202223 kwa siku katika mtandao wa YouTube.

Tarehe 2 Machi 2012 Derulo alitoa albamu yake ya kwanza inayoitwa "Future history".Baada ya hapo Derulo alitoa albamu 3 ambazo ni "don't wanna go home","talk dirty" na "everything is 4"

Mwaka 2017 Derulo alitoa wimbo aliowashirikisha Nick Minaj pamoja na Ty Dolla Sign uliofahamika kama "Swala" uliofikisha watazamaji zaidi ya bilioni moja kwa mwaka.Mwaka 2018 Derulo alichaguliwa kwenda kutumbuiza katika michuano ya kombe la Dunia nchini Urusi.

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jason Derulo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.