Ty Dolla Sign

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ty Dolla Sign

Ty Dolla Sign (alizaliwa 13 Aprili 1985) ni mwimbaji,mtayarishaji na mwandishi wa nyimbo wa Marekani.

Baba yake alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Lakeside.

Alianza kazi yake ya muziki mwaka 2007 kama mpiga gitaa. Mwaka 2010 alitoa wimbo wake wa kwanza iliyojulikana kama Toot It and Boot It chini ya produza Def Jam Recordings.

Mwaka 2013 alisaini mkataba na lebo iliyotambulika kama Wiz Khalifa's Taylor Gang Records ambapo mwaka 2015 alitoa albamu yake iliyoitwa Tree Tc.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ty Dolla Sign kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.