Iydu
Limeanzishwa | 1981 |
---|---|
Chairman | Aris Kalafatis |
Deputy Chairman | Gerti Bogdani |
Treasurer | Zach Howell |
Parent organisation | International Democrat Union |
Chama cha International Young Democrat Union (IYDU) ) ni kundi la kweli la kisiasa na chama cha vijana.Kilianzishwa mwaka wa 1981 kisha baadaye kikawekwa msingi dhabiti mwaka wa 1991.IYDU ina wanachama 127 kutoka mataifa 80 na ni mwanga wa vijana wa International Democrat Union.
Tovuti la IYDU inapeana Ilihifadhiwa 18 Julai 2006 kwenye Wayback Machine. makataa malum kwenye chama ikiwemo demokrasia,heshima dhidi ya haki za binadamu,soko huru na biashara huru:
- IYDU yaamini usawa wa kidemokrasia uliokita mizizi katika jamii ndio chanzo cha serikali yenye msingi bora.
- IYDU yaamini kuwa haki za binaadamu ni kuishi bila woga wa kunyanyaswa hasaa katiaka Nyanja tofauti za rangi,dini na maumbile.hili jambo ni moja wepo ya kile ambacho hakiwezi kuishi bila la jingine.wakati hamna woga wowote kila jambo laweza kuwekwa kwa uwazi,na hapo ndipo demokrasia itatokea.
- IYDU yaamini kuwa soko huru lajenga uhuru wakuingiliana kwa watu kwani hili ndilo laleta uwezo wa ubunifu,lajenga ukuaji wa uchumi na kulinda uhuru na haki za binaadamu uliokeketwa.
- IYDU ya pinga biashara za ubaguzi kwani nikupitia biashara huru ndipo ukuaji wa uchumi na uhuru watokea.Yaamini kwamba,ndio umaskini unaojirudia kati ya takriban watu bilioni moja uvunjwe,biashara huru za paswa kupewa kipau mbele katika ukuzaji na wala sio ukandamizaji.
IYDU huuandaa kongamano tofauti kwa wanachama wake kila mwaka ikiwemo mazungumuzo kuhusu uhuru katikati ya mwaka,mikutano ya wakurugenzi na pia usafiri katika miji tofauti ulimwenguni kwa minanjili ya masomo.viongozi katikakongamano la IYDU wameweza kuhusisha viongozi wasasa na waliokuwepo serikalini na pia wakubwa katika Nyanja mbali mbali za kisiasa kutoka familia kubwa kubwa.wanaoshiriki katika kongamano la IYDU wamejiendeleza na kuwa viongozi wakuu serikalini,wabunge,washauri wakubwa,na hata viongozi katika kampuni za kiserikali na za kibinafsi.
Ofisi kuu za IYDU zinapatikana katika mji wa Oslo, kule Norway.
Historia ya IYDU
[hariri | hariri chanzo]Mzazi Shirika
[hariri | hariri chanzo]Mzazi shirika wa IYDU, ambaye ni International Democrat Union (IDU) anafanya kazi pamoja nakushirikiana na zaidi ya chama 80.Kilianzishwa mwaka wa 1983, wanachama walioanzisha ni pamoja na makamu wa Rais wa Uingereza Margaret Thatcher; kisha baadaye makamu wa Rais wa Merikani George Bush Sr; Meya wa Paris,kisha baadaye Rais wa ufaransa, Jacques Chirac; na baadaye kansela wa ujerumani Helmut Kohl.
Kampeni huru
[hariri | hariri chanzo]Kampeni huru za IYDU inasaidia makundi za demokrasia na makundi huru sokoni katika mataifa yaliyo chini ya utawala wa kimabavu.
Kampeni huru zinazoendelea
- Upaji mbele wa uhuru Ilihifadhiwa 18 Julai 2006 kwenye Wayback Machine.
- Uhuru wa belarus Ilihifadhiwa 18 Julai 2006 kwenye Wayback Machine.
- Uhuru wa cuba Ilihifadhiwa 18 Julai 2006 kwenye Wayback Machine.
- Uhuru wa dini Ilihifadhiwa 18 Julai 2006 kwenye Wayback Machine.
Chairmen
[hariri | hariri chanzo]Name | Years | Country | Organisation |
---|---|---|---|
Elmar Brok | 1981–1983 | Germany | Junge Union |
Mark Heywood | 1992–1994 | Australia | Young Liberals |
Tony Zagotta | 1994–1998 | United States | College Republicans |
Andrew Rosindell | 1998–2002 | United Kingdom | Conservative Future |
Shane Frith | 2002–2004 | New Zealand | Young Nationals |
Donald Simpson | 2004–2006 | United Kingdom | Conservative Future Scotland |
Peter Skovholt Gitmark | 2006–2008 | Norway | Young Conservatives |
Tim Dier | 2008–2010 | United Kingdom | Conservative Future |
Daniel Walther | 2010 – 2012 | Germany | Junge Union |
Nicolas Figari | 2012 – 2012 | Chile | Juventud Union Democrata Independiente |
Aris Kalafatis | 2012 – current | Greece | ONNED |
Footnotes
[hariri | hariri chanzo]External links
[hariri | hariri chanzo]- IYDU official site Ilihifadhiwa 18 Julai 2006 kwenye Wayback Machine.
Kigezo:Conservatism footer Kigezo:International Democrat Union