Israeli wa Dorat
Mandhari
Israeli wa Dorat (Le Dorat, 950 hivi - Le Dorat, 12 Desemba 1014) alikuwa kanoni padri wa Dorat, aliyemsaidia sana askofu wa jimbo katika kuhubiri Neno la Mungu [1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu [2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Desemba[3].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Guillaume Lavaud, Le dossier hagiographique des saints Israël et Théobald du Dorat, “ Saint Israël, chanoine de l’An Mil - Etablissements canoniaux, pouvoir épiscopal et seigneuries laïques au temps des premiers Capétiens, Limousin et royaume de France ”, colloque international organisé par l'Université de Limoges et le CRIHAM, Nov 2014, Limoges-Le Dorat, France, éd. Lavaud, 2020. hal-02557458
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Saint Israël, sur nominis.cef.fr
- Saints limousins, sur limousin-medieval.com
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |