Imalinyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

9°11′28″S 34°37′41″E / 9.191°S 34.628°E / -9.191; 34.628


Kata ya Imalinyi
Nchi Tanzania
Mkoa Njombe
Wilaya Wanging'ombe
Idadi ya wakazi
 - 23,672

Imalinyi ni jina la kata ya Wilaya ya Wanging'ombe katika Mkoa wa Njombe, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 8,529 [1] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 59316.

Kata hii upande wa kijiji cha Igodivaha inapakana na msitu wa Lwivala ambako wenyeji wanaenda kwa sadaka na sherehe [2]. Katika msitu huu kuna jabali ya ajabu. Kwenye uso wa mwamba huo kuna umbo unaofanana na umbo la ramani ya Afrika ambao ni kivutio cha watalii[3].


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012, Njombe - Wanging'ombe DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-03-28.
  2. Njombe region, tovuti ya tanzaniatourism.go.tz, iliangaliwa Septemba 2018
  3. Ramani ya bara la Afrika iliyochorwa kwenye Jabali Njombe Tanzania, tovuti ya BBC News Swahili, iliangaliwa Spetemba 2018
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Wanging'ombe - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Igima | Igosi | Igwachanya | Ilembula | Imalinyi | Kidugala | Kijombe | Kipengele | Luduga | Makoga | Mdandu | Saja | Uhambule | Ulembwe | Usuka | Wangama | Wanging'ombe


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Imalinyi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.