Iduo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Iduo ni jina la kata ya Wilaya ya Kongwa katika Mkoa wa Dodoma , Tanzania yenye postikodi namba 41504[1] . Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11197 [2] waishio humo.

Wenyeji ni Wakaguru na Wagogo, wanajishughulisha na kilimo na ufugaji.

Mwaka 2015 kijiji kimepata umeme wa TANESCO kwa bei nafuu. Mzaliwa wa kwanza kujenga nyumba ya kisasa na yenye gharama kubwa ya mamilioni ya pesa ni kijana mdogo,wa ukoo wa Ndolonjei anaeitwa Lazaro Ndolonjei alijenga nyumba kubwa yakisasa akiwa na umri wa miaka 27 mwaka 2012 na pia ni mtu wakwanza kuweka wiring ya umeme,pia Lazaro Ndolonjei ni mtu wakwanza kuvuta maji ya bomba katika kata ya IDUO na kuwa mtu wakwanza kuwa na maji ya bomba nyumbani kwake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Kongwa - Mkoa wa Dodoma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Chamkoroma | Chitego | Chiwe | Hogoro | Iduo | Kibaigwa | Kongwa | Lenjulu | Makawa | Matongoro | Mkoka | Mlali | Mtanana | Nghumbi | Ngomai | Njoge | Pandambili | Sagara | Sejeli | Songambele | Ugogoni | Zoissa


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Iduo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.