Huntha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Photo of a flower with a large orange centre and delicate yellow stamen protruding. The centre is surrounded by white petals and a halo of green and yellow spikes.
Picha ya Hylocereus undatus inatoa mfano wa mmea huntha.
Kononono (Cornu aspersum wakijamiana.

Huntha (kwa Kiingereza: hermaphrodite, kutokana na neno la Kigiriki ἑρμαφρόδιτος, hermaphroditos) ni mmea au mnyama mwenye jinsia mbili[1].

Kwa mimea hali hiyo ndiyo ya kawaida, kumbe kwa wanyama ni 0.7%.

Inakadiriwa kuna spishi 65,000 tu kati ya 8,600,000 hivi[2] za wanyama huntha[3], lakini si binadamu, hata kama huyo amezaliwa pengine na viungo vya uzazi visivyoeleweka. Kinachotambulisha jinsia ya mtu ni chembeuzi Y kuwepo (mwanamume) au kutokuwepo (mwanamke).

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Merriam-Webster Dictionary Retrieved 28 June 2011
  2. Jarne P, Auld JR (September 2006). "Animals mix it up too: the distribution of self-fertilization among hermaphroditic animals". Evolution 60 (9): 1816–24. doi:10.1554/06-246.1 . PMID 17089966 .
  3. hermaphroditism. Encyclopædia Britannica Online. Iliwekwa mnamo 9 April 2013.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Morpho didius Male Dos MHNT.jpg Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Huntha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.