Hospitali ya Mirembe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hospitali ya Mirembe ni hospitali ya taifa kwa wagonjwa wa akili iliyopo Dodoma, Tanzania.

Mwaka 1927, utawala wa kikoloni wa Uingereza ulijenga hospitali hiyo ambayo ilitibu wagonjwa wa akili kutoka sehemu zote za Tanganyika.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]