Henrique Abranches

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Henrique Abranches (29 Septemba 19328 Agosti 2004) [1] alikuwa mwandishi na mtunzi wa mashairi wa Angola [2].

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Alizaliwa katika jiji la Lisbon nchini Ureno, lakini mwaka 1947, alihamia nchini Angola na kupata uraia wa nchi hiyo.

Alikuwa mwandishi wa vitabu vya historia ya Angola, mbali na kuwa mwalimu, mshairi na mwandishi wa Insha, pia alikuwa mwalimu wa elimu ya juu na mkurugenzi wa makumbusho ya taifa ya utumwa.

Tuzo[hariri | hariri chanzo]

  • National Literature Award (1981) .[3]
  • National Literature Award (1990) [3]
  • Luanda trophy (1997)[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henrique Abranches kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.