Nenda kwa yaliyomo

Hellen Dausen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hellen Dausen ni mwanamke Mtanzania aliyetangazwa na kampuni ya Forbes kama mmoja wa wajasiriamali tajiri chini ya miaka thelathini na wengine toka nchi ya Kenya, Madagascar, Nigeria, Benin, Gambia na Zimbabwe[1].

Pia ni mshindi wa taji la Urembo Tanzania mwaka 2010 [2] na mwanzilishi na mjasiriamali katika shughuli za urembo wa kampuni inayoitwa Nuya's Essence, LLC. Natural Bath & Body Care.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-03. Iliwekwa mnamo 2018-09-08.
  2. https://www.forbes.com/sites/kerryadolan/2016/06/06/africas-most-promising-entrepreneurs-forbes-africas-30-under-30-for-2016/#dc5f7ab1f434