Hassan Rouhani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hassan Rouhani (kwa Kiajemi: حسن روحانی‎; amezaliwa 12 Novemba 1948) ni mwanasiasa wa Uajemi anayehudumu kama Rais wa saba na wa sasa wa Uajemi tangu tarehe 3 Agosti 2013.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hassan Rouhani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.