Nenda kwa yaliyomo

Hanna Elise Marcussen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hanna Elise Marcussen

Hanna Elise Marcussen (alizaliwa tarehe 4 Septemba 1977) ni mwanasiasa wa Green Party nchini Norwei. Kwa sasa anahudumu kama Kamishna wa Jiji la Oslo kwa Maendeleo ya mji huo.[1][2]

Mnamo mwaka 2008-2014 alihudumu kama msemaji wa kitaifa wa Green Party nchini Norway. Alichaguliwa kama naibu mjumbe wa baraza la jiji la Oslo mwaka 2011 na 2015.Novemba 2012, alipoteza pambano dhidi ya Rasmus Hansson kwenye uchaguzi wa ubunge wa mwaka 2013. Badala yake alipata nafasi ya ushindi huko Rogaland mwezi Februari, 2013.[3] Hansson alichaguliwa mjini Oslo, na Marcussen hakufanikiwa kushinda kiti cha ubunge Rogaland.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hanna Elise Marcussen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.