Rogaland
Rogaland ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo lipo Kaskazini mwa Norwei, likikwa limepakana na baadhi ya mjimbo mengine kama vile Hordaland, Telemark, Aust-Agder na Vest-Agder. Jimboni hapa ni mahali pa kuu pa viwanda vya mafuta ya petroli, na kwa maana hiyo, Rogaland ina idadi ndogo mno ya ukosefu wa ajira kuliko jimbo lolote lile nchini Norwei, 1.1%.[1] Rogaland ina idadi ya vifo vya watoto ipatayo asilimia 2.18 kwa kila mama, ambayo ni kiwango cha juu sana kwa nchini humo, na moja kati ya idadi kubwa mno katika Ulaya.
Mgawanyo wa kiutawala
[hariri | hariri chanzo]Jimbo kikawaida hugawanywa katika mfumo wa wilaya za zamani. Ambapo ni Haugalandet kaskazini mwa Boknafjorden, Ryfylke huko mjini mashariki, na Jæren na Dalane ambayo ipo magharibi-kusini.
Rogaland ina jumla ya manispaa 26:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ http://www.nav.no/805350468.cms Ilihifadhiwa 16 Aprili 2008 kwenye Wayback Machine., Norwegian article on unemployment from www.nav.no
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Rogaland County Council Ilihifadhiwa 21 Agosti 2013 kwenye Wayback Machine. - Official site
- County web site (English) Last update: 2001 Ilihifadhiwa 7 Mei 2006 kwenye Wayback Machine.
- Map Ilihifadhiwa 31 Machi 2006 kwenye Wayback Machine.
- Region Stavanger Official tourism site for the Stavanger region
- Google Map
- Maps City, District and Regional maps - Rogaland
Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rogaland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |