Goima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Goima ni jina la kata ya Wilaya ya Chemba katika Mkoa wa Dodoma , Tanzania yenye postikodi namba 41804[1] . Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12261 [2] waishio humo.


Baadhi ya vijiji vya kata ya Goima vyenye shule ya msingi ni Goima yenyewe, Jenjeluse, Hamai, Igunga, Madaha, Makamaka, Mirambo na Songolo. Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Goima ni Waburunge ingawa Warangi wameanza kuhamia Goima kwa wengi.


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Chemba - Mkoa wa Dodoma - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Babayu | Chandama | Chemba | Churuku | Dalai | Farkwa | Goima | Gwandi | Jangalo | Kimaha | Kwamtoro | Kidoka | Kinyamsindo | Lahoda | Lalta | Makorongo | Mondo | Mpendo | Mrijo | Msaada | Ovada | Paranga | Sanzawa | Songoro | Soya | Tumbakose